Hospitali ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma inahudumia wakazi wa maeneo mbalimbali ya wilaya pamoja na vijiji vya jirani.
Hospitali ya Wilaya ya Nyasa inaendelea kuboresha huduma zake,Serikali imekuwa ikijitahidi kuongeza rasilimali watu na kuboresha miundombinu ya hospitali ili kukidhi mahitaji ya wananchi.
Kwa sasa, hospitali hii ni nguzo muhimu ya afya katika wilaya na ina mchango mkubwa katika kupunguza vifo vya akina mama na watoto, pamoja na kudhibiti magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.