• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

OPERESHENI kabambe ya kuwaondoa wote waliovamia vyanzo vya maji mkoani Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: February 1st, 2021


KIKAO cha wadau wa maji mkoani Ruvuma kilichoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kimeptisha azimio la kufanya operesheni kabambe ya kuwaondoa wote waliovamia kwenye vyanzo vya maji na kusababisha athari za kimazingira.

Mwenyekiti wa Kikao hicho ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anasisitiza kuwa kwa wale ambao wameshalima kwenye vyanzo vya maji na mimea ishaota,msimu huu ni  mwisho,

“Tutaendesha operesheni ya kuwaondoa wale wote ambao wanakwenda kulima kwenye vyanzo vya maji na kusababisha watu wengine wapate maji machafu,hili halikubaliki lazima waondoke’’,anasisitiza Mndeme.

Anatoa rai kwa wenyeviti wa Halmashauri zote nane zilizopo katika Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha kuwa suala la kuwaondoa waliovamia vyanzo vya maji linakuwa azimio kwenye vikao vya Baraza la madiwani.

Hata hivyo anasema kwa kuwa hivi sasa waliolima mahindi kwenye vyanzo vya maji,mahindi yamerefuka na tayari wameshaweka mbolea hivyo serikali haiwezi kwenda kung’oa katika msimu huu.

Ametahadharisha kuwa kilimo kwenye vyanzo vya maji kwa kutumia mbolea za kemikali kinaleta madhara makubwa kwa mtumiaji wa maji hayo ambaye anakunywa maji yenye mbolea hali ambayo inaweza kuleta athari za kiafya.

Kutokana na hali hiyo Mndeme amewaomba wadau wote wa maji kutoa elimu ya athari za  kuvamia vyanzo vya maji ambapo amesisitiza kuanzia mwakani mtu yeyote ambaye atafanya shughuli za kiuchumi kwenye vyanzo vya maji atachukuliwa hatua kulingana na sheria ya mazingira ya mwaka 2004 na sheria ya maji ya mwaka 2002 na 2019.

Imeandikwa na Albano Midelo

Februari Mosi,2021

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.