Katikati pichani ni Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akipata maelezo kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa bandari ya Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.
Profesa Mbarawa alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa miezi 24 wa ujenzi wa bandari ya Mbambabay unaogharimu shilingi bilioni 80
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.