Pichani Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Julius Mtatiro, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Amon Mpanju, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu. Oddo Mwisho, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Jumanne Mwankhoo, pamoja na viongozi wengine mara baada ya uzinduzi wa programu jumuishi ya taifa ya malezi makuzi na maendeleo ya mtoto (PJT-MMMAM) uliofanyika ukumbi wa Manispaa ya Songea akilimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katika hafla hiyo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.