KULIA ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Mheshimiwa Michael Mbano akiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Dkt Sagamiko kwenye mkutano wa Baraza Maalum la kujadili utekelezaji wa hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuishia Juni 30 ,2022 ambapo Halmashauri hiyo imepata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.