Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Profesa Riziki Shemdoe ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara ambapo Rais ameteua bwana Steven Mashauri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma.Soma habari kwa kina hapa IMG_20200131_213813.jpg
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.