Pichani mrefu kuliko wote ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Mbunge wa Songea mjini ambaye pia ni Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro walipompokea Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt.Frank-Walter Steinmeier .Rais huyo alifanya ziara ya kikazi ya siku moja mjini Songea kwa kutembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji na shule kongwe ya msingi Majimaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.