MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewasilisha salama za upendo zilizotolewa na Rais Dkt.John Magufuli kwa waumini wa Kanisa la TAG Misufini mjini Songea,licha kutoa salamu hizo,Mndeme pia mechangia shilingi milioni moja kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya muziki katika kanisa hilo.SOMA habari zaidi https://www.youtube.com/watch?v=V_2eGO5SwYU&t=186s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.