Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan ameleta tabasamu kwa watoto wa kike mkoani Ruvuma baada ya kutoa shilingi bilioni nne kujenga sekondari ya wasichana
Sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyojengwa katika kata ya Rwinga Wilayani Namtumbo imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha Tano na kidato cha kwanza.
Mkuu wa shule hiyo mpya ya Mkoa wa Ruvuma MWL.Dafrosa Chilumba amesema sekondari hiyo ina uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 watakaokuwa wanasoma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa sekondari mpya kumi za wasichana za mikoa zilizojengwa na serikali ya Awamu ya Sita
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.