• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RAIS SAMIA alivyoubeba Mkoa wa Ruvuma kwenye mbolea ya ruzuku

Imewekwa kuanzia tarehe: July 14th, 2023

SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa tani 71,000 za mbolea ya ruzuku katika mkoa wa Ruvuma katika msimu wa mwaka 2022/2023.

Takwimu zinaonesha kuwa kiasi hicho cha mbolea ya ruzuku kilichotolewa mkoani Ruvuma ni kikubwa ukilinganisha na mbolea ya ruzuku iliyotolewa katika mikoa mingine nchini.

Mkuu wa Mkoa  wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa kipaumbele kikubwa cha mbolea ya ruzuku katika msimu huu mkoani Ruvuma ukilinganisha na usambazaji wa mbolea hiyo katika msimu 2021/2023  ambapo jumla ya tani 33,501.07 za mbolea  ya ruzuku zilisambazwa.

“Makadirio ya Mahitaji ya mbolea za aina zote kwa Mkoa ni zaidi ya tani 67,000. Aidha, Hali ya upatikanaji wa mbolea  katika msimu huu ni ya kuridhisha’’,alisema.

Hata hivyo amesema kutokana na kushuka kwa bei ya mbolea ya ruzuku kutoka mfuko mmoja  kati ya shilingi 130,000 hadi shilingi 140,000 hadi kufikia kati ya 50,000 na 70,000 msimu huu, Wakulima wengi mkoani Ruvuma wamemudu gharama za mbolea, hali iliyosababisha wakulima kuongeza ukubwa wa mashamba na  kutumia mbolea za viwandani  kwa wingi.

Amesema Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na  Wizara ya Kilimo kupitia Mamlaka ya Udhibiti  wa Mbolea (TFRA) ulitekeleza mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea kwa Wakulima msimu wa 2022/2023 na kwamba Mfumo huo ulienda sanjari na zoezi la kusajili wakulima wote, mawakala na kampuni zilizoingiza mbolea.

Kanali Thomas amesema Mkoa wa Ruvum una utoshelevu wa chakula  na kuwa na ziada  na kwamba Chakula kilichozalishwa katika msimu 2022/2023 kinatarajia kutumika hadi msimu wa 2023/2024 ambapo mazao ya chakula zilizalishwa tani 1,598,163 na kati ya hizo  zao la mahindi zimezalishwa jumla ya tani 1,043,324.

 Kwa upande wake Afisa Kilimo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Onesmo Ngao amesema hadi kufikia  Juni,2023 Mkoa ulikwishalima hekta 897,171 za mazao ya chakula, biashara na mazao ya bustani sawa na asilimia 97 ya lengo.

Amesema hekta hizo zimetoa mavuno ya tani 1,870,800 sawa na asilimia 95 ya lengo la mavuno.ambapo katika mazao ya chakula hekta 550,310 zililimwa na kutoa mavuno ya tani

1,598,163.

Kulingana na Afisa Kilimo huyo katika kilimo cha mazao ya biashara hekta zilizolimwa ni 332,459 ambazo zimetoa jumla ya tani 94,741 za mazao na kwamba  mazao ya bustani hekta 14,402 zililimwa na kutoa mavuno ya Tani 177,897.

Kwa mujibu wa sensa ya watu ya 2022 Mkoa una jumla ya watu 1,848,794 ambao mahitaji yao ya chakula aina ya wanga ndani ya Mkoa kwa msimu 2023/2024 ni tani 554,638 na kuufanya Mkoa kuwa na ziada ya chakula tani 1,043525.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.