Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuweka shada la maua katika Mnara wa Mashujaa wa kaburi ambalo wamezikwa mashujaa 66 wa vita ya majimaji lililopo ndani ya Makumbusho ya Taifa ya majimaji Songea.Rais Dkt. Samia yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku sita ambapo atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.