RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametangaza orodha ya wakuu wa wilaya aliowateua katika wilaya mbalimbali nchini.Wakuu hao wanatarajia kuanza kuapishwa Juni 21 mwaka huu na wakuu wa mikoa katika maeneo yao.Tazama zaidi hapa https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/rais-samia-apangua-wakuu-wa-wilaya-3443642
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.