RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu amepangua wakuu wa mikoa na kuteua wakuu wa mikoa wapya pamoja na kuteua wakuu wa Taasisi.Rais Samia amemteua Balozi Brigedia General Wlbert Augustine Ibuge kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma aliyechukua nafasi ya Christina Mndeme aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara.Tazama zaidi hapa https://www.malunde.com/2021/05/Samia_15.html
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.