• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RAIS SAMIA atoa zaidi ya shilingi bilioni 233 kutekeleza miradi Tunduru

Imewekwa kuanzia tarehe: March 25th, 2023

RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya shilingi  bilioni 223 kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani Tunduru  mkoani Ruvuma.

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro amesema fedha hizo zimetolewa katika kipindi cha Machi 2021  hadi Machi 2023, 
DC Mtatiro ameeleza kuwa mradi wa kipekee na kihistoria ambao umetia fora ni ule wa Shilingi Bilioni 150 ambazo zimepelekwa wilayani humo kukamilisha ujenzi wa Msongo Mkubwa wa umeme wa kilovoti 220 kutoka Songea hadi Tunduru wenye utefu wa kilomita 210, mradi ambao utamaliza kabisa matatizo ya umeme wilayani Tunduru na ambao utakamilika ndani ya miezi 15 huku Wakandarasi wakiwa wamesharipoti wilayani humo.
Miradi mingine iliyopeleka fedha nyingi wilayani Tunduru ni REA Shilingi Bilioni 31.9, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Shilingi Bilioni 9.6, Barabara Vijijini Shilingi Bilioni 8, Miundombinu ya Shule za Msingi na Sekondari Shilingi Bilioni 7.4, Miundombinu ya Sekta ya Afya Shilingi Bilioni 3.1, Miundombinu ya Maji Shilingi Bilioni 5.2, Kilimo na Ushirika Bilioni 4.5,  Elimu Bila Malipo Shilingi Bilioni 1.5.
DC Mtatiro amewaasa wananchi wa Tunduru kuitunza miundombinu yote inayojengwa katika Wilaya hiyo.

Matangazo

  • RATIBA ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 March 31, 2023
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara June 30, 2023
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma September 30, 2023
  • WALIOCHAGULIWA kidato cha kwanza March 31, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HABARI picha

    June 02, 2023
  • TUNDURU wauza ufuta kilo moja kwa sh.3,822

    June 02, 2023
  • WANAFUNZI sekondari ya Mataka Tunduru waiomba serikali kukamilisha ujenzi wa bwalo

    June 02, 2023
  • NAMTUMBO hatujawahi kuuza ufuta kwa bei hii

    June 01, 2023
  • Tazama zote

Video

HAIJAWAHI kutokea Namtumbo wanunua ufuta kilo sh.4105,wapongeza mfumo wa stakabadhi
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: 0252602256

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.