Rais wa Jamhuri la Shirikisho la Ujerumani Dkt Frank Walter Steinmeier akiweka shada kwenye kaburi la Jemedari wa kabila la wangoni Nduna Songea Mbano ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma.Jemedari Songea Mbano pamoja na mashujaa wengine 66 waliuawa kikatili na wakoloni wa kijerumani mwaka 1906 .Jemedari Songea Mbano baada ya kuuawa wajerumani walikata kichwa chake na kwenda kukihifadhi nchini Ujerumani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.