Pichani kushoto ni Rais wa Jamhuri la Shirikisho la Ujerumani Dkt Frank Walter Steinmeier akipokea zawadi ya vinyago kutoka kwa wanafunzi wawili wa kike na kiume ambao pia ni viranja wakuu wa shule ya msingi Majimaji Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Rais wa Ujerumani amefanya ziara ya kikazi ya siku moja mkoani Ruvuma kwa kutembelea Makumbusho ya Taifa ya Majimaji na shule kongwe ya msingi Majimaji.,kulia kwake ni Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.