• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RAIS wa Ujerumani awaomba radhi watanzania

Imewekwa kuanzia tarehe: November 2nd, 2023

Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt.Frank-Walter Steinmeier amewaomba radhi Watanzania kuhusu ukatili wa wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji na kuahidi kutafuta majibu ya maswali magumu kuhusu vita hivyo ili kujenga mahusiano mazuri zaidi baina ya Tanzania na Ujerumani.

Rais Dkt.Steinmeier ametoa kauli hiyo leo tarehe 1 Novemba 2023 wakati alipotembelea Makumbusho ya Vita vya Majimaji ambapo amejifunza historia ya vita hivyo na kupata fursa ya kutembelea na kuweka shahada ya maua kwenye kaburi la halaiki la Mashujaa 66 walionyongwa na Wajerumani na kaburi la kiongozi wa vita hivyo Nduna Songea Mbano.

"Vile vile,ana kwa ana,ninaomba msamaha kwa mambo yote ambayo Wajerumani waliwatendea mabibi na mababu zenu hapa" amesema Mhe. Rais.

Amesisitiza kuwa amefurahi kujifunza historia ya Shujaa Songea Mbano kwa undani na kukutana na familia ambapo amesema kinachomgusa ni namna ambavyo Watanzania wanahuzunika kuhusu historia ya Mashujaa na namna ilivyoathiri vizazi vilivyopo.

Ameongeza kuwa ni Wajerumani wachache wanaoifahamu historia ya vita vya MajiMaji hivyo amefika katika Makumbusho ili akawaeleze Wajerumani historia ya matukio yaliyotokea huko nyuma kwa lengo la kuendelea kujenga na kuboresha historia njema siku za usoni baina ya Tanzania na Ujerumani.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Songea Mjini ameomba Serikali ya Ujerumani kujenga jengo kubwa la Makumbusho ya kisasa kuhusu historia ya Vita vya MajiMaji.

Aidha, ameomba ushirikiano baina ya mji wa Songea na mji mwingine wa Ujerumani kwa lengo la kuimarisha uhusiano na ushirikiano.

" Tunaamini ushirikiano wa kiuchumi na kijamii ndio utakuwa daraja zuri la kujenga mahusiano mazuri na kuondoa historia mbaya ya siku za nyuma" amese Mhe Dkt. Ndumbaro.

Naye Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dunstan Kitandula amesema Wizara yake inathamini mchango unaotolewa na Taifa la Ujerumani hususan kwenye eneo la mafunzo na utafiti mbalimbali kwenye masuala ya Malikale. wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Songea Mjini ameomba Serikali ya Ujerumani kujenga jengo kubwa la Makumbusho ya kisasa kuhusu historia ya Vita vya MajiMaji.

Aidha, ameomba ushirikiano baina ya mji wa Songea na mji mwingine wa Ujerumani kwa lengo la kuimarisha uhusiano na ushirikiano.

" Tunaamini ushirikiano wa kiuchumi na kijamii ndio utakuwa daraja zuri la kujenga mahusiano mazuri na kuondoa historia mbaya ya siku za nyuma" amese Mhe Dkt. Ndumbaro.

Naye Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dunstan Kitandula amesema Wizara yake inathamini mchango unaotolewa na Taifa la Ujerumani hususan kwenye eneo la mafunzo na utafiti mbalimbali kwenye masuala ya Malikale.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBUNGE Kawawa aleta neema Namtumbo

    May 11, 2025
  • KIONGOZI Mwenge wa uhuru ashiriki upandaji miti Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru waweka jiwe la msingi shule ya amali Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru wazindua jengo la EMD Peramiho

    May 10, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.