Kushoto ni Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed mara baada ya kukabidhiwa ofisi kutoka kwa Katibu Tawala Mstaafu wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge pichani chini ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.