Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama, akiwa kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea,baada ya kusalimiana na kumkaribisha mkoani Ruvuma Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo ambaye amechukuwa nafasi ya Rehema Madenge ambaye amestaafu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.