Rasmi Kamati Maalumu ya Mkoa ya kusikiliza malalamiko na migogoro ya aridhi yaanza kazi ya kusikiliza na kupokea taarifa kutoka kwa Wananchi mara baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katika ukumbi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.