MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge anazindua chanjo ya UVIKO 19 Agosti nne mwaka huu sanjari na kutoa elimu sahihi kwa wananchi kuhusu chanjo kwa wananchi kuachana na taarifa ambazo sio sahihi na za upotoshaji kuhusu chanjo hiyo ambayo inaanza kutolewa mkoani Ruvuma Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=QNF6EyJioGg
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.