Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua mradi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya ya Namtumbo ambayo imeanza kutoa huduma kwa wananchi.RC Ibuge pia amekagua mashine ya kisasa ya mionzi yenye uwezo wa kutambua wagonjwa wenye magonjwa mbalimbali.Mashine hiyo imegharimu zaidi ya shilingi milioni 270.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=ngvrYQsCpYM
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.