• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC IBUGE akagua mradi wa maji Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: June 1st, 2022

MAMLAKA ya Maji  safi na usafi wa Mazingira Songea unatarajia kukamirisha mradi wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 500.

Akitoa taarifa hiyo Mhandisi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Frenk Tamsi amesema  mradi huo umejengwa katika mtaa wa pambazuko ,mlete pamoja na chuo cha uhasibu Arusha Tawi la Songea Manispaa ya Songea na kuhudumia wananchi wapatao 3,900.

Tamsi   amesema mradi huo unafadhiliwa na  Wizara ya Maji  kupitia mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19 na unatarajia kukamilika Juni 28,2022.

Amesema mradi huo unajengwa na mkandarasi  Jambela Limited kwa mda miezi sita ikiwa na vyanzo vya maji visima viwili  vyenye uwezo wa kuzalisha lita 518,400 kwa siku na utekelezaji huo umefikia asilimia 70.

“Mamlaka inasimamia mradi  kwa kutumia wataalamu wake wa ndani ili kuhakikisha kazi inatekelezwa  kwa ubora,usalama na kwamda uliopangwa”.

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge  akizungumza mara baada ya kupokea taarifa amemwagiza Mkandarasi wa Mradi wa Maji Mtaa wa Pambazuko kuhakikisha anamaliza kazi yake ndani ya Mkataba.

Ibuge amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha za mradi huo kwa asilimia 100  ikiwa ni utekeleza wa ilani ya CCM.

Moja kati ya wanawake wa mtaa wa pambazuko Mariam Mpoma amepongeza jitihada za Serikali katika kusaidia kumtua mama ndoo kichwani ikiwa wakati wa awali wanapata maji kutoka kwenye mito ambayo siyo salama kwa afya.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Habari Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Juni 1,2022

 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.