• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC IBUGE awataka wanafunzi kuongeza bidii katika masomo

Imewekwa kuanzia tarehe: June 23rd, 2022

WANAFUNZI wa shule  kongwe ya Sekondari Kigonsera iliyopo katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma,wameaswa kusoma kwa bidii na kufanya vizuri katika masomo ili waweze kutimiza ndoto zao.

Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge,wakati akizungumza na wanafunzi hao alipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kuwapa hamasa na kuwakumbusha wajibu wao wa kusoma kwa bidii.

Alisema, ni vyema wanafunzi kutambua umuhimu wa elimu  hivyo wanatakiwa kujituma,kuongeza bidii darasani na kusikiliza wanayofundishwa na walimu wao kama wanahitaji kufanikiwa katika maisha pindi watakapomaliza masomo yao.



“Kigonsera Sekondari ni shule nzuri  na inayofanya vizuri  kwa hiyo msiivunjie heshima, apa kuna miundombinu mizuri  inayofaa kwa wanafunzi kujisomea  nawaomba sana muitendee haki,nyinyi ndiyo wakuu wa mikoa na Majenerali wa baadaye”alisema Brigedia Jenerali Ibuge.

Alisema,Serikali imekuwa inatoa fedha za kutosha kwa  ajili ya kuimarisha na kuboresha miundombinu ya shule hiyo, na itaendelea kufanya hivyo ili kuwawekea  wanafunzi mazingira mazuri ya kujisomea na walimu kuwa na mahala pazuri kwa ajili ya kufundishia.

Alisema,kila wanapolala na kuamka lazima wakumbuke  jambo lililowapeleka shuleni sambamba na kuwa na malengo ambapo kupitia elimu wanayoipata darasani itawasaidia kupata ujuzi na maarifa yatakayowawezesha kumudu ushindani katika soko la ajira.

Aidha Ibuge,amewataka wanafunzi hao kuwa wazalendo kwa nchi yao na kujiepusha kuiga tabia na tamaduni za kigeni zinazokwenda kinyume na maadili ya Kitanzania.

Shule ya Sekondari Kigonsera ni miongoni mwa shule kongwe apa nchi ambayo kwa nyakati tofauti imetoa viongozi mbalimbali wa Serikali akiwamo Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjemin Mkapa na Waziri Mkuu wa sasa Kassim Majaliwa.











Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.