MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaonya wazazi na walezi wanaowashawishi watoto wao kuacha kusoma shule waache tabia hiyo badala yake wawaache watoto wao wasome kwa kuwapatia mahitaji muhimu ikiwemo chakula.RG Ibuge alikuwa anazungumza na wananchi wa kijiji cha Misifuni Kata ya Luchili Halmashauri ya Namtumbo alipofanya ziara ya kikazi ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya shule na afya.Tazama habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=S3DEtALQ2Y8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.