Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametoa rai kwa wananchi kuacha kuangaika na taarifa za corona kutoka kwenye mitandao badala yake watumie wataalam wa afya kupata taarifa sahihi za corona.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=rLIn4jDn6GU
Baadhi ya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini na wakazi wengine wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wakati anazungumza kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea kuhusiana na kukabiliana na wimbi la tatu la mlipuko wa corona mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.