Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameliagiza Baraza jipya la madiwani Manispaa ya Songea kuhakikisha machinjio ya kisasa iliyojengwa Kata ya Tanga inaanza kufanya kazi mwezi ujao.Mndeme pia ameutaja mpango wa serikali kujenga upya barabara ya lami kutoka Songea hadi Njombe ambapo amesema upembuzi yakinifu umekamilika.Pia amewaagiza madiwani kuandaa eneo la ujenzi wa hospitali ya kisasa kando kando ya barabara kuu ya Songea-Njombe ndani ya Manispaa ya Songea kwa kuwa Rais amekubali kutoa fedha za mradi huo .SOMA habari kwa kina hapa .https://www.youtube.com/watch?v=3Jg2AArVxfo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.