• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC MNDEME aagiza waliohujumu vifaa vya Kampuni ya CHICCO wasakwe na kukamatwa

Imewekwa kuanzia tarehe: June 27th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameliagiza jeshi la polisi kuwasaka watu wote wanaotumiwa kuhujumu vifaa vya Kampuni ya CHICCO inayojenga barabara ya Mbinga hadi Mbambabay.

Mndeme ametoa maagizo yao baada yakupata taarifa kutoka kwa uongozi wa kampuni ya CHICCO kuwa kuna watu wameiba vifaa vya mitambo inayitumika kutengeneza barabara hiyo kwa kiwango cha lami nzito yenye urefu wa kilometa 67.

Mndeme amesikitishwa  kitende cha Wizi wa vifaa vya kutengenezea Barabara hiyo ambayo serikali imetoa shilingi bilioni 129 kutekeleza mradi huo ambao unatarajia kukamilika mwaka huu.

Utekelezaji wa  mradi huu hadi sasa ni zaidi ya  asilimia 50  ambapo Mndeme amesema Serikali imeamua kuwaondolea kero wananchi wa Mbinga na Nyasa waliokuwa na kiu ya kuona Barabara inakuwa kwa kiwango cha Lami lakini watu wachache wanataka kupoteza furaha yao kwa kuiba vifaa.

Mkuu wa Mkoa amemesikitishwa na  kampuni iliyopewa dhamana ya Kulinda vifaa hivyo ambapo ameagiza wahusika wote  wakamatwe na wachukuliwe hatua ya kisheria dhidi yao,   na mkataba na kampuni inayolinda uvunjwe.

,,Mimi niseme Ndugu zangu Chicco nimeumia sana na nimesikitika sana sikutegemea  kama kampuni iliyopewa dhamana  ya ulinzi huu ambao mmeingia nao mkataba wao wanakuwa wa kwanza kutuibia sasa mimi niwaahidi tu naenda kuchuwa hatua kuanzia sasa hawa wote waliofanya wizi huu tutawakamata’’.alissisitiza  Mndeme

Mndeme ameitaka  kampuni  hiyo iliyoiba vifaa kama wanamadai yao wafuate taratibu kwa sababu kwa wizi uliofanyika wamesababisha baadhi ya mitambo ya kampuni ya Chicco  imesimama haifanyi kazi jambo ambalo halikubaliki.

Mkuu wa Mkoa amewaagiza Kampuni ya Chicco kuendelea na mradi huo kwa kununua  betri na Mafuta ili kazi ziendelee.

Kampuni ya CHICCO katika Mkoa wa Ruvuma inasimamia miradi minne ikiwemo mradi wa Barabara Mbinga Mbambabay, ujenzi wa Bandari ya Ndumbi,Uwanja wa Ndege wa Songea na Mradi wa  barabara ya Kitai hadi Amani Makoro.

Mwakilishi wa Kampuni ya CHICCO alivitaja vifaa vilivyoibiwa kuwa  ni mafuta ya petroli lita 100 betri 4 za mitambo ambapo wezi walinadika karatasi ambayo imeleza kuwa wamefanywa hivyo ili  walipwe fidia zao.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Mbinga

Juni 24,2020

 

 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.