MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuweka wanyamapori katika visiwa vilivyopo ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa ili kukuza utalii katika wilaya ya Nyasa ambayo ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma.Mndeme ametoa ombi hilo wakati anatoam salama za Mkoa wa Ruvuma kwa Waziri Mkuu katika hafla ya k,uzindua meli ya abiria ya MV Mbeya II katika bandari ya mjini Mbambabay .
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=zhkGILa8XH8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.