Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewaagiza waheshimiwa madiwani na wataalam kuhakikisha wanadhibiti upotevu wa fedha kwa kuchukua hatua kwa wanaosabisha upotevu huo.
Kanali Abbas ametoa agizo hilo wakati anazungumza katika kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) juu ya hoja na mapendekezo CAG kwa hesabu za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.