Pichani Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, akiboresha taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Ofisi ya Mtaa wa Mashujaa Kata ya Mjini iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Zoezi hili lililoanza Januari 12, linatarajiwa kukamilika Januari 18, 2025, katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Halmashauri ya Mji Mbinga, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, na Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.