Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ametembelea na kukagua ujenzi Stand ya Kisasa iliyoko Kata ya Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Serikali imetoa Zaidi ya shilingi milioni 434 kutekeleza mradi wa ujenzi wa stendi hiyo.Mradi wa stendi hiyo una jumuisha Jengo la Utawala, Maduka 36, Vibanda vya walinzi viwili, vyoo matundu nane pamoja na uzio
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,baada ya ukaguzi wa stendi hiyo amepongeza usimamizi mzuri wa mradi huo ambao umefanywa kwa kushirikiana na wananchi na watendaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.