Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua daraja linalounganisha Tarafa ya Namasakata na Tarafa za Nalasi na Lukumbule Wilaya ya Tunduru .
Daraja hili linajengwa na serikali kupitia TARURA ambapo shilingi zaidi ya milioni 326 zinatekeleza mradi huu.
Mkuu wa Mkoa ameipongeza TARURA kwa kusimamia vema mradi wa ujenzi wa daraja hili linalunganisha kijiji cha Tuwemacho na Nasya katika mto Msinjewe
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.