• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC RUVUMA ahimiza kuimarishwa ushoroba wa Selous-Niassa

Imewekwa kuanzia tarehe: October 17th, 2024

RC RUVUMA ASISITIZA KUFANYIWA KAZI  USHOROBA WA SELOUS-NIASSA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesisitiza kuendelea kufanyiwa kazi kwa ushoroba wa Selous -Niassa ili kudhibiti muingiliano wa Wanyamapori  wasilete madhara makubwa kwa Wananchi.

Kanali Ahmed ameyasema hayo alipokuwa akizindua mradi wa Global Biodiversity Framework, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Hunt Club Mjini Songea, Mkoani Ruvuma.

"Niendelee kusisitiza ushoroba huu wa Selous pamoja na Niassa ambao ni muunganiko mzuri baina yetu na Msumbiji, tuendelee kuufanyia kazi ili kudhibiti muingiliano wa Wanyamapori na Wanadamu ili wasilete madhara makubwa",Alisema.

Sanjari na hayo ameeleza jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuhakikisha Wanyamapori hawaleti madhara makubwa kwa nchi  ikiwemo utoaji wa elimu, kufanya doria kwenye maeneo   hatarishi, kuendelea kuwaandaa Askari Wanyamapori wa vijijini pamoja na kutumia ndege nyuki.

Naye Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Uifadhi wa Mazingira na Wanyamapori Duniani (WWF) Tanzania Dkt. Amani Ngusaru amebainisha Kusifika Kwa Tanzania Kikanda na Kimataifa kama Nchi yenye utajiri mkubwa wa bio-anuai.

Amesema Tanzania imetenga takribani asilimia 40 ya ardhi yake kwa ajiri ya uifadhi wa maliasili, misitu na Wanyamapori  na kutokana na hilo Tanzania ni mojawapo ya Nchi 5 ambazo zimependekezwa na kupewa fursa ya kutekeleza mradi wa Global Biodiversity Framework.

Mradi wa Global Biodiversity Framework unalenga kuzuia upotevu wa bio-anuai kupitia mbinu za uhifadhi zinazoongozwa na jamii.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.