RC THOMAS AIPONGEZA BENKI YA NMB KWA KUWAJALI WALIMU
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameipongeza banki ya NMB kwakuazisha Mwalimu Spesho kwa lengo la kujiwekakaribu na walimu kupitia huduma mbalimabli zakifedha
Pongezi hizo amezitoa wakati akizindua hudumampya ya Mwalimu Spesho iliyoanzishwa na benkiya NMB ambayo itawafanya walimu kuwezakupata mikopo mbalimbali kwa lengo kuwanufaisha.
Thomas amesema benki ya NMB ni miongonimwa taasisi za kifedha bora hapa nchini imefanyajambo jema sana kufikilia kuandaa siku ya walimukwaajili ya walimu wetu pia amefurahi kuonamwitikio wa waalimu katika jambo hili
“Kwani hii ni fursa nzuri kwenu kuelewa kwa kina na kwa upana huduma mbalimbali zitolewazo nabenki ya NMB na nijinsi gani kama wadaumnaweza kupata nafuu kwa uharaka na tunajuaambavyo walimu na watumishi wengine wanavyojiingiza kwenye mikopo umiza lakini kwa kulionahilo ndio maana NMB imeunda siku hii kwa ajiliyenu” alisema RC thomas
Naye mkuu wa idara ya wateja binafsi Aikaliamulo amelezea kwamba NMB inatambuamchango mkubwa wa walimu kwa taifa letu kuwamwalimu anayo nafasi na namna gani waowanweza wakanufaika na huduma hizi
“Siku ya leo watapata kujua maswala ya elemu yafedha tunafundisha ni namna gani wakatunzefedha wanazozipata kutokana na vyanzo vyaovya mapato pia siku ya leo tunaitumia kupatamlejesho wa huduma au kupata maoni kutoka wawateja tunao wahudumia”alieleza Aikalia mulo
Pia benki ya NMB kila mwaka imekuwa ikitengasiku moja kwa ajili ya kongamano la elemu nchinina uwakutanisha waalimu kwa lengo la kupatamaoni kwa mwaka huu limefanyika PeramihoSongea mkoa wa Ruvuma
Naye Sixbert Komba mwalimu ambayeameudhuria uzinduzi huo katika ukumbi waSemiray peramiho ameweza kuwashukuru NMB kwa kuwa karibu nao walimu.
“Hii siku ni ya umuhimu sana kwetu walimusababu tumelekezwa faida za mikopo walimutunamajukumu mengi hata vipato vyetuvinamambo mengi kwahiyo tumeelezwa faida yamikopo na kuwa na nidhamu ya hizo fedha natumeelekezwa namna ya kumuweka mtoto akiba”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.