Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekabidhi magari Sita ya kubebea wagonjwa kwa ajili ya vituo vya kutolea huduma za afya vilivyopo kwenye Halmashauri za Mkoa huo.
Hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika kwenye ukumbi wa Chandamali Mahenge mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.