Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Kipapa kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga leo Julai 4, 2023. Baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi inayojengwa kupitia fedha ya mradi wa uboreshaji miundombinu ya Shule za msingi na shule za awali (BOOST) ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu kiasi cha shilingi milioni 331.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.