RC RUVUMA AKAGUA MIRADI MITATU YA MAJI MBINGA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua miradi mitatu ya maji yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3.5 katika Wilaya ya Mbinga.
Fedha hizo zilizotolewa na serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan zinatekeleza miradi ya maji katika kata za Amanimakoro,Mbangamao na eneo la Ruvuma chini Kata ya Mpepai Wilaya ya Mbinga.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma leo Oktoba 7 anakagua miradi maji katika Wilaya ya Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.