Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Laban Thomas amepongeza skimu ya maji kijiji cha Darajambili Wilaya ya Tunduru ambapo hadi sasa mradi huo wenye maji ya kutosheleza mahitaji ya wananchi umegharimu zaidi ya shilingi milioni 388.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.