Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akikagua ukarabati na ujenzi wa barabara na kalvati mjini Namtumbo ambapo serikali kupitia TARURA imetoa shilingi milioni 970 kukarabati barabara zenye urefu wa kilometa 30,kujenga barabara ya lami kilometa moja na nusu na kujenga Kalvati mjini Namtumbo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.