Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa katika picha ya pamoja na Katibu mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mohammed Ally Khalfani (suti ya kijivu) akiambatana pamoja na wajumbe wengine wa CCM mara baada ya kumtembelea kwa ajili ya kujitambulisha leo tarehe 26/9/2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.