Pichani Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, akiwa katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma, maalum kwa ajili ya kuunga mkono azimio la Chama hicho la kuwateua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais, Dkt. Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwa mgombea urais Zanzibar.
mkutano huo umefanyika katika viwanja vya Matarawe Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.