Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemaliza mgogoro wa eneo la Ujenzi wa sekondari kata ya Mputa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo na kuamua sekondari hiyo kujengwa katika kitongoji cha Mkongo
Sekondari hiyo ni miongoni mwa sekondari tisa mkoani Ruvuma ambazo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa kila shule shilingi milioni 560.5 kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP)
Fedha hizo zilitolewa tangu mwezi Mei mwaka huu ambapo Halmashauri zingine utekelezaji wa mradi huo unaendelea.
Halmashauri ya Namtumbo mgogoro wa eneo la ujenzi umechelewesha mradi kuanza
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.