Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas pichani katikati alipowasili kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea kuhudhuria katika Maazimisho ya siku ya Uhuru wa kidini Duniani kwa kanisa la Waadventista Wasabato.
Maadhimisho hayo kwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini yamefanyika Songea ambapo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akizungumza kwenye maadhimisho hayo amezitaka Taasisi mbalimbali za kiserikali na binafsi Kuheshimu na Kujali Uhuru wa Wananchi wa kuabudu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.