Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akitembelea bustani ya miche ya miti Hifadhi ya Matogoro Manispaa ya Songea pamoja na vivutio vya utalii vilivyopo katika hifadhi hiyo ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa upandaji miti ngazi ya Mkoa wa Ruvuma ambapo Mkoa umedhamiria kupanda miti zaidi ya milioni sita msimu huu ili kuendelea kuufanya Mkoa kuwa wa kijani na kulinda mazingira na vyanzo vya maji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.