Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ametoa maagizo mazito kwa watendaji wa serikali katika ngazi zote ikiwa ni pamoja na kutoka ofisini na kwenda kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Akizungumza na watendaji kutoka Halmashauri zote nane kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea Kanali Abbas Amesisitiza sio vema kusubiri hadi viongozi wa kitaifa kusikiliza kero za wananchi kwa kuwa kila kiongozi kwenye eneo lake anahusika kusikiliza kero za wananchi.Mkuu wa Mkoa pia ameeleza masuala muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.