Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ametoa pole kwa wahanga kufuatia majanga mawili yaliyotokea nchini likiwemo la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo jijini Dar es salaam na kusababisha vifo na uharibifu wa mali na kuungua Soko la Mbamba bay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambalo limeteketea Kwa moto na kuuunguza vibanda 25 vya soko hilo na mali ambazo zilikuwepo katika vibanda.
Kanali Abbas ametoa pole hizo wakati anazungumza kwenye usiku wa Tuzo za Uchumi Ghala ambazo zilifanyika katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.