Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wanahabari kuhusu mafanikio makubwa ambayo Mkoa umeyapata kwa mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka mpya 2024.
Mkuu wa Mkoa ametoa rai kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha wanasherehekia mwaka mpya kwa amani ,utulivu na upendo mkubwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.