• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC RUVUMA aungana na watoto yatima kusherehekea Eid

Imewekwa kuanzia tarehe: March 31st, 2025

‎‎Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ameungana na watoto yatima katika hafla ya chakula iliyofanyika katika makazi yake yaliyopo Manispaa ya Songea katika kuadhimisha sikukuu ya Idd.

‎‎Katika hafla hiyo, Kanali Ahmed amesisitiza umuhimu wa kuwatia moyo watoto wanaoishi katika mazingira magumu, akieleza kuwa idadi ya watoto hao katika mkoa ni zaidi ya 78,000.

‎‎Ameeleza kuwa idadi ya watoto hao ni kubwa na wanahitaji upendo na kushikwa mkono, hivyo wananchi wanapopata fursa ni vema kutembelea vituo vya watoto hao kuwasalimia na kuwapatia zawadi kwa kuwa watafarijika na wataweza kusoma kwa hamasa kubwa na kuweza kufikia malengo yao.

‎‎‎Kwa upande wake Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Ruvuma, Victory Nyenza, amesema mkoa wa Ruvuma unawatambua watoto 78,337, kati ya hao  watoto wa kiume ni 37,601 na wa kike ni 40,736.

‎‎Ameeleza kuwa watoto wote ambao wametambuliwa wameunganishwa kwenye huduma mbalimbali kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kama vile huduma za msaada wa kisaikolojia, afya, elimu na malezi katika makao ya kuelekea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu.

‎Katika hatua nyingine mlezi wa watoto yatima kutoka kituo cha Mt. Caterina kilichopo Mbinga, Sister Julietha, amesema watoto wameonyesha kufurahi kutokana na halfa hiyo ambayo imewakutanisha kutoka mazingira tofauti na kuwasaidia kusalimiana, kula chakula pamoja na kufarijiana.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • BODI ya kwanza ya maji yazinduliwa Tunduru

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.