Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akijiandikisha katika daftari la Wapiga kura katika kituo cha Mtaa wa Mahenge Kata ya Mjini Halmashauri ya Manispaa ya Songea.Zoezi la kujikiandikisha litawezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.